MAJALIWA AKAGUA SHAMBA LA MICHIKICHI LA GEREZA LA KWITANGA MKOANI KIGOMA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mkewe Mary Majaliwa (kushoto) wakipata maelezo kutoka Mkuu wa Gereza la Kwitanga wilayani Kigoma, Uswege  Mwahesya (kulia) kuhusu mchikichi alioupanda Mheshimiwa Majaliwa 23/05/2020. Mche huo unatarajiwa kutoa mavuno mwakani.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Sehemu ya shamba la michikichi la gereza la Kwitanga mkoani Kigoma ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliliizndua 23/05/2020 na  jana Sepptemba  17, 2021 alilitembelea. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 

0/Post a Comment/Comments