Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim
Majaliwa akizungumza wakati aliposhiriki katika Kikao cha
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kigoma kilichofanyika kwenye
ukumbi wa CCM Mkoa, Septemba 16, 2021. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa
wa Kigoma, Amandus Nzamba na kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM
Mkoa wa Kigoma, Abdulkadir Mushi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha
Mapinduzi Mkoa wa Kigoma wakimsikiliza, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashuri Kuu
ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika kikao hicho
kilichofanyika kwenye ukumbi wa CCM Mkoa, Septemba 16, 2021. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akimkabidhi kadi ya CCM, Edibily Kinyoma ambaye amekihama cha ACT Wazalendo na kujiunga na CCM katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kigoma kilichofanyika kwenye ukumbi wa CCM Mkoa, Septemba 16, 2021. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma, Amandus Nzamba na wa tatu kulia ni Katibu wa CCM wa Mkoa Kigoma, Kajoro Vyohoroka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment