MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA MJOMBA WAKE..

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika sala ya kumuombea  marehemu mjomba wake, Shabaan Issa kabla ya mazishi yaliyofanyika  katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Septemba 3, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika mazishi ya mjomba wake, Shaban Issa kwenye makaburi ya Nandagala wilayani Ruangwa, Septemba 3, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



 

0/Post a Comment/Comments