Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha
Mahembe wilayani Kigoma wakati aliposimama alikiwa njiani kwenda kukagua shamba
la michikichi la Gereza la Kwitanga, Septemba 17, 2021. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali kutoka
kwa Hussein Ali Makorokocho (kushoto) wakati
aliposikiliza na kuzitolea maelekezo kero za wananchi katika kijiji
cha Mahembe wilayani Kogoma. Aliimama kijijini hapo akiwa njiani
kwenda gereza la Kwitanga kukagua kilimo cha michikichi, Septemba 17, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment