MAJALIWA AZINDUA UPANUZI WA KIWANDA CHA SERENGETI BREWERIES.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua upanuzi wa kiwanda cha Serengeti Breweries  Mjini Moshi, Septemba 23, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua upanuzi wa kiwanda cha Serengeti Breweries mjini Moshi, Septemba 23, 2021. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Serengeti Breweries, John Ulanga , Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai, Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda,  Mark Ocitti na Kulia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exhaud  Kigahe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakitazama mtambo wa kuzalisha pombe kali iitwayo Bongo Don wakati Waziri Mkuu alipofanya uzinduzi huo. Mjini Moshi, septemba 23, 2021. Wa tatu Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika hafla ya uzinduzi wa upanuzi wa  Kiwanda cha Serengeti Breweries aliofanyika mjini Moshi, Septemba 23, 2021(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0/Post a Comment/Comments