Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Bomang`ombe Wilaya ya Hai Mkoani
Kilimanjaro leo Sept 05,2021 alipokua njiani akielekea Marangu kwa ajili
kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na
Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU.


Post a Comment