MHE. RAIS SAMIA ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UN.
byTorch Media-0
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Sept 21,2021 ameshiriki
katika ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN
unaofanyika Jijini New York Marekani. PICHA NA IKULU.
Post a Comment