Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa
kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Wabunge vinara
wa kupambana na Kifua kikuu pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo kabla ya
kuzindua muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo
katika viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu
ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Wabunge vinara wa kupambana na
Kifua kikuu pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo katika hafla ya uzinduzi wa
muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo katika
viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021
Spika wa Bunge, Job Ndugai akikata utepe akizindua
muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo katika
viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021, wapili kushoto ni
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin
Mollel na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua
kikuu, Mhe. Fatma Taufiq (kulia)
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala
ya Ukimwi na Kifua kikuu, Mhe. Fatma Taufiq akizungumza na Wajumbe wa kamati ya
kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Wabunge vinara wa
kupambana na Kifua kikuu pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo katika hafla
ya uzinduzi wa muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika
leo katika viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021
Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozana na Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel
baada ya kuzindua muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania
uliofanyika leo katika viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, Septemba 12,
2021, kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya
Ukimwi na Kifua kikuu, Mhe. Fatma Taufiq na Katibu wa Wabunge vinara wa
kupambana na kifua kikuu, Mhe. Kunti Majala
Spika wa Bunge, Job Ndugai (wapili kushoto waliokaa)
katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya
Ukimwi na Kifua kikuu, Wabunge vinara wa kupambana na Kifua kikuu pamoja na
wadau mbalimbali wa maendeleo baada ya kuzindua muungano wa wadau kupambana na
kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo katika viwanja vya Nanenane Jijini
Dodoma, Septemba 12, 2021
(PICHA NA OFISI YA BUNGE

Post a Comment