MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM.
byTorch Media-0
Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya
CCM kilichokutana leo Sept,10,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Post a Comment