Cuba imekuwa nchi ya kwanza ulimwenguni kutoa chanjo ya Uviko kwa watoto kuanzia umri wa miaka 2 wakitumia chanjo zilizotengenezwa majumbani na ambazo bado hazitambuliki na Shirika la Afya duniani.
Majaribio ya chanjo za Abdala na Soberana kwa watoto pia yalionekana kuwa salama.
#TimesFMDigital

Post a Comment