Tanzania imepanda kwa nafasi 3 kwenye viwango vya ubora wa soka duniani vilivyotolewa na shirikisho la soka duniani FIFA jana Septemba 16,2021.
Kutoka nafasi ya 135 na sasa inashika nafasi ya 132.
DR Congo imeshika nafasi ya 67,Benin wapo nafasi ya 82, Uganda nafasi ya 86, Madagascar wakishika nafasi ya 100, huku Kenya wakiwa nafasi ya 102
Timu 10 za juu za Afrika katika viwango hivyo
1. Senegal 🇸🇳 (20)
2. Tunisia 🇹🇳 (25)
3. Algeria 🇩🇿 (30)
4. Morocco 🇲🇦 (33)
5. Nigeria 🇳🇬 (34)
6. Egypt 🇪🇬 (48)
7. Ghana 🇬🇭 (53)
8. Ivory Coast 🇨🇮 (54)
9. Cameroon 🇨🇲 (58)
10. Mali 🇲🇱 (61)

Post a Comment