TIKETI ZA 200,000 SIMBA DAY ZIMEUZIKA ZOTE

 


Wakati Klabu ya Simba inaelekea kwenye kilele cha siku yao muhimu ya Simba Day tukio ambalo linatarajiwa kufanyika wikiendi hii. 


Klabu ya Simba kupitia kurasa zao za Instagram wameweka wazi kuwa tiketi zao za Platinum zimeisha kwa mujibu wa taarifa hiyo tiketi hizo zilikuwa zinauzwa Sh 200,000.


Ikumbukwe zimebaki siku tano (5) kufikia Simba day.

0/Post a Comment/Comments