VANESSA MDEE MJAMZITO






Mwanadada maarufu kutokea nchini Vanessa Mdee ameweka wazi Ujauzito wake.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Vanessa amepost picha zikionyesha wazi ujauzito wake huku akisindikiza picha hizo na caption nzito za kumshukuru mwenyezi Mungu.


Vanessa amekuwa kwenye mahusiano na Msanii na Mwigizaji kutokea Nigeria Rotimi kwa muda wa miaka miwili sasa.


#Timesfm digital


0/Post a Comment/Comments