Radiografa wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Indrisa Juma
akimpima X-ray ya kifua ili kuchunguza moyo na mapafu mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba Joash
Onyango wakati wachezaji 32 wa timu hiyo
walipofika katika Taasisi hiyo leo kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa afya ya
moyo kama sehemu ya maandalizi ya mashindano ya ligi kuu ya Tanzania Bara na
mashindano ya klabu bingwa Afrika..
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Henry Mayala akimpima kipimo cha kuangalia jinsi moyo
unavyofanya kazi (Echocardiograph - ECHO) mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba Taddeo
Lwanga wakati wachezaji 32 wa timu hiyo walipofika katika Taasisi hiyo leo kwa
ajili ya kufanya uchunguzi wa afya ya moyo kama sehemu ya maandalizi ya
mashindano ya ligi kuu ya Tanzania Bara na mashindano ya klabu bingwa Afrika.
Post a Comment