
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania,
Dkt..Ahamada El Badaoui, kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano katika ulinzi
na usalama kati ya Serikali ya Tanzania na Comoro. Kikao hicho kilifanyika
ofisi ya Waziri huyo, jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto),
akimsikiliza Balozi wa Comoro Nchini Tanzania, Dkt..Ahamada El Badaoui, katika
kikao kilichojadili masuala mbalimbali ya ushirikiano katika ulinzi na usalama
kati ya Serikali ya Tanzania na Comoro. Kikao hicho kilifanyika ofisi ya Waziri
huyo, jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia),
akimshukuru Balozi wa Comoro Nchini Tanzania, Dkt..Ahamada El Badaoui, kwa
kumtembelea ofisini kwake baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyojadili masuala
mbalimbali ya ushirikiano katika ulinzi na usalama kati ya Serikali ya Tanzania
na Comoro. Kikao hicho kilifanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi.
Post a Comment