AALIAH WA WASAFI AUKWAA UBALOZI WA VIERA





Na Brigit Masaki

Mtangazaji mashuhuli katika urembo nchini, Aaliah amepata Ubalozi wa kipondozi cha Viera urembo losheni kwa Kampuni inayoongozwa na Director Joan.


Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Viera Director Joan amesema wamemchagua Aaliaah kwa kuwa no mrembo na anafatiliwa na mashabiki wengi.


"Kwa kuwa bidhaa ya urembo tulifikilia in nanitunaweza kumpa hii nafasi ndipo tukampa Aahaliaah kwakuwa ni  mrembo pia atawashawishi wengine balozi wa Viera"


"Kipodozi hiki kinatakiwa kupakwa usoni kinasaidia ngozi kuwa laini kuondoa makunyanzi na kukufanya use mrembo zaidi, kinapatikana madokani kwa being ya Sh elfu 30000" amesema Director Joan


Kwa upande wake balozi huyo ameshukuru kwa heshima aliyopewa balozi wa Viera amesema atahakikisha anakuwa balozi mzuri ili waendelee kumwongezea mkataba wake wa kufanya nao kazi.


"Nimeitumia hii losheni no nzuri kwa kuwa nimeitumia kwa muda wa miezi sita nikaona matokeo yake anapaka mtu yoyote mwanaume hata mwanamke, mweusi kwa weupe" amesema Aaliaah.


 

0/Post a Comment/Comments