Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tatizo Waane
akielezea huduma zinazotolewa na JKCI wakati Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi
Robert Gabriel alipotembelea banda la JKCI wakati wa Mkutano wa mwaka wa
madaktari uliofanyika katika Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza.
Daktari
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Theophilly Mushi akitoa taarifa ya
upimaji uliofanyika katika Mkoa wa Geita wakati Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi
Robert Gabriel alipotembelea banda la JKCI wakati wa Mkutano wa mwaka wa
madaktari uliofanyika katika Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza.
Daktari
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Theophilly Mushi akimpima kipimo cha
kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography – ECHO) mwananchi wa
Mkoa wa Mwanza aliyetembelea katika banda la JKCI wakati
wa mkutano wa mwaka wa madaktari uliofanyika katika Hoteli ya Malaika Jijini
Mwanza
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tatizo Waane
akipokea cheti cha utambuzi wa huduma zinazotolewa na JKCI wakati wa Mkutano wa
mwaka wa madaktari uliofanyika katika Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza.
Picha na: JKCI
Post a Comment