MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA MWAKA WA TEHAMA TANZANIA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wadau wa Sekta ya TEHAMA wakati alipofungua Mkutano wa Tano wa Mwaka wa TEHAMA Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa  Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha, Oktoba 22, 2021.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0/Post a Comment/Comments