
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Liwale unaogharimiwa na
serikali akiwa katika ziara ya Mkoa wa Lindi Oktoba 7, 2021.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa wilaya ya
Liwale, Dkt. Gloria Andrew kuhusu maabara ya Hospitali ya wilaya hiyo
inayojengwa na serikali wakati alipokagua ujenzi wake, Oktoba 7, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment