Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wenyekiti wa
kamati ya kitaifa ya uratibu wa utekelezaji wa mpango wa maendeleo kwa
ustawi wa taifa na mapambano dhudi ya UVIKO 19 akizungumza katika kikao cha
kamati hiyo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 21, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment