MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI, MADIWANI NA WANANCHI WA KILWA.
byTorch Media-0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na watumishi, Madiwani na wananchi wa Halmashauri ya wilaya Kilwa
kwenye ukumbi wa Kwa Sultan, Kilwa Masoko, Oktoba 6, 2021. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Baadhi ya Madiwani, watumishi na
wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Kwa Sultan uliopo Kilwa
Masoko, Oktoba 6, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment