MHE. RAIS SAMIA AKIHUTUBIA KWENYE UZINDUZI WA JENGO LA KITUO JUMISHI CHA UTOAJI HAKI JIJINI DODOMA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia wakati wa uzinduzi  wa Jengo la Kituo Jumuishi cha Utoaji  Haki katika eneo la National Capital City, Jijini Dodoma leo tarehe 06 Oktoba 2021.


0/Post a Comment/Comments