MHE. RAIS SAMIA AKILIHUTUBIA TAIFA KWENYE KILELE CHA MBIO ZA MWENGE CHATO.
byTorch Media-0
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa kwenye kilele
cha mbio za Mwenge Maalum wa Uhuru Kitaifa mwaka 2021 zilizofanyika leo Oktoba
14,2021 katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato Mkoani Geita.
Post a Comment