MHE. RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI.
byTorch Media-0
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri
kilichofanyika leo tarehe 20 Oktoba, 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. PICHA
NA IKULU
Post a Comment