
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye mkutano na
Waandishi wa Habari wakati wa ujio wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evareste
Ndayishimiye Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 22 Oktoba 2021.

Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evareste
Ndayishimiye akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino
Mkoani Dodoma leo tarehe 22 Oktoba 2021. PICHA NA IKULU.
Post a Comment