HomeMICHEZO SIMBA YATUA SALAMA BOTSWANA byTorch Media -October 15, 2021 0 Kikosi cha Simba SC kimetua salama nchini Botswana tayari kuwavaa Jwaneng Galaxy hapo kesho, jumapili kwenye mchezo wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika.#
Post a Comment