TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YAIBUKA KINARA MATUMIZI YA TEHAMA SEKTA YA AFYA.


Katibu MkuuWizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Zainab Chaula akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha Tehama waTaasisiyaMoyoJakayaKikwete (JKCI) Raymond Machary tuzo ya Taasisi ya mabadiliko Tehama bora katika utoaji wa huduma za afya wakati wa kufunga  kongamano la tano la maafisa TEHAMA Tanzania lililomalizika Jana Jijini Arusha

0/Post a Comment/Comments