TET WAENDELEA KUSAMBAA VITABU TANZANIA









 Serikali kupitiaTaasisi ya Elimu Tanzania (TET) leo tarehe 26/10/2021  imeendelea na zoezi la usambazaji wa vitabu vya Kiada kwa Shule za Msingi na Sekondari

katika halmashauri mbali mbali nchini .


Ambapo  jumla ya vitabu 489,095 vinasambazwa katika halmashauri 8 za  Mkoa wa Kigoma  ambazo ni Buhigwe, Kasulu, Kasulu TC, Uvinza, Kibondo, Kigoma Vijijini, Ujiji, na Kakonko.


Zoezi la usafirishaji wa vitabu hivyo linafanywa na Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

0/Post a Comment/Comments