WAZIRI MKUU KATIKA UZINDUZI YA WIKI YA VIJANA KITAIFA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Jumuiya ya Wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa  wakati alipotembelea mabanda katika uzinduzi wa wiki ya vijana kitaifa kwenye uwanja wa Mazaina, Chato, Geita Oktoba 12, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi Mkuu wa Nyaraka na Maktaba ya Mwalimu Nyerere katika Taasisi ya Mwalimu Nyerere Sophia Fredy            ( kulia)  wakati alipotembelea mabanda katika uzinduzi wa wiki ya vijana kitaifa Chato, Geita Oktoba 12, 2021.  Wa pili kushoto ni Karani wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Habiba Nassoro (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0/Post a Comment/Comments