
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamadi Masauni kwenye
viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Novemba 8, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt.
Angelina Mabula bungeni jijini Dodoma, Novemba 8, 2021. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Post a Comment