Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza na vyombo vya Habari kuhusu mafanikio na changamoto za Wizara yake katika kipindi cha miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara, ambapo ametoa rai kwa Watanzania wote kushiriki katika zoezi sensa ya watu na makazi mwaka 2022, ili kuiwezesha Serikali kupanga mipango ya maendeleo kwa ufanisi, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt.
Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiandika maswali ya waandishi wa Habari wakati wa
mkutano na vyombo vya Habari kuhusu mafanikio na changamoto za Wizara yake
katika kipindi cha miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara, katika ukumbi wa Idara
ya Habari Maelezo, jijini Dodoma.
1.
Mkurugenzi Msaidizi Uratibu wa
Mawasiliano Serikalini, Idara ya Habari MAELEZO, Bi. Zamaradi Kawawa,
akizungumza wakati akihitimisha mkutano wa Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt.
Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Hayumo pichani,) na vyombo vya Habari kuhusu
mafanikio na changamoto za Wizara yake katika kipindi cha ya katika miaka 60 ya
uhuru wa Tanzania Bara, jijini Dodoma.
Baadhi ya Waandishi wa Habari
wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck
Nchemba (Mb) (Hayumo pichani), wakati akizungumza na vyombo vya Habari kuhusu
mafanikio na changamoto za Wizara yake katika kipindi cha miaka 60 ya uhuru wa
Tanzania Bara, aliyoitoa katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo, jijini
Dodoma.
Mwandishi wa Habari wa EATV, Daniel
Mkate, akiuliza swali wakati wa mkutano wa Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt.
Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Hayumo pichani) wakati akizungumza na vyombo vya
Habari kuhusu mafanikio na changamoto za Wizara yake katika kipindi cha miaka
60 ya uhuru wa Tanzania Bara, katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo, jijini
Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano
Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango)
Post a Comment