NUNO ATIMULIWA SPURS

 


-Nuno Espirito Santo amefutwa kazi na bodi baada ya kufungwa na Manchester United .


- Baada ya mkutano wa ndani siku ya Jumapili, uamuzi wa mwisho umekuwa wa kumfuta kazi meneja huyo baada ya kufanya vibaya kwa Spurs katika mechi zilizopita. 


- Nuno alikuwa sehemu ya mradi mpya wa Tottenham lakini hajawahi kuwa jina la kwanza katika orodha ya Levy & Paratici.


- Daniel Levy alikasirishwa na mchezo mbaya wa Tottenham dhidi ya Man United Jumamosi iliyopita.

0/Post a Comment/Comments