Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe
kuzindua rasmi makabidhiano ya Mradi wa Awamu ya Pili ya ujenzi wa Jengo la
Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14
Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha kumbukumbu alipowasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021. Kwa ajili ya kuzindua makabidhiano ya Mradi wa Awamu ya Pili ya ujenzi wa Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa
kuzindua rasmi makabidhiano ya Mradi wa Awamu ya Pili ya ujenzi wa Jengo la
Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe
14 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada ya kuzindua rasmi makabidhiano ya Mradi wa Awamu ya Pili ya ujenzi wa Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021
Post a Comment