WAZIRI MKUU BUNGENI LEO.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mayenga, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, bungeni jijini Dodoma, Novemba 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi akiapa kuwa Mbunge, bungeni jijini Dodoma, Novemba 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0/Post a Comment/Comments