HomeHABARI KITAIFA DKT MLIMUKA ATEULIWA KUWA MWENYEKITI FCC byTorch Media -December 23, 2021 0 Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Aggrey Kalimwage Mlimuka kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Ushindani (FCC), akichukua nafasi ya Prof. Humphrey Moshi aliyemaliza muda wake. Dkt. Mlimuka ni Mkurugenzi Mstaafu wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE).
Post a Comment