LEBERT KUWASHIKA MKONO VIJANA WAKITANZANIA



 Na AMINA KASHEBA

MWANAMUZIKI kutoka Uingereza, Lebert Brown amesema anawekeza hapa nchini kwa vipaji wenye vipaji vya kuimba.

Akizungumza na Uhuruonline jana, Lebert alisema amevutiwa na vipaji vya vijana ameamua kuwekeza ili kutimiza ndoto zao.

“Hapa Tanzania kuna vijana wana vipaji vya kuimba kupitia kampuni yangu ya Lebert Enternment nitahakikisha nawashika mkono vijana hawa,” amesema.

Mwanamuziki huyo alieleza kuwa anavutiwa sana na uimbaji wa nyimbo za singeli jambo ambalo linamfanya kufanya staili hiyo

“Aina ya uimbaji wa singeli ni nzuri, nilivyofika hapa ndiyo nimepewa jina lake halisi kwasababu nilikuwa sifahamu unavyoitwa,” amesema.

Lebert alifafanu atarajia kufanya filamu ya historia yake hapa nchini kutokana na mazingira na kuwa na vivutio vizuri vya utal

1/Post a Comment/Comments

Post a Comment