Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip
Mpango akiagana na Viongozi Mbalimbali wa Jamhuri ya Malawi katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe Nchini mara baada ya kumalizika
kwa Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa
Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC). Uliofanyika Lilongwe
nchini Malawi Januari 12,2022.
Picha – Ofisi ya Makamu wa Rais – Januari 12,2022.
Post a Comment