MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.JOB NGUGAE
byTorch Media-0
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na aliyekuwa
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb)
aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Post a Comment