WIZARA YA UVUVI YA AGIZWA KUSIMAMIA UJENZI WA MAABARA YA TAFIRI NA UKAMIKE KWA WAKATI .



 
........ .......

Na. Dominic Haule

Kamati ya Kudumu ya Bunge imemwagiza katibu Mkuu wa Wizara ya Uvuvi na Mifugo Sekta ya Uvuvi kuwa asimamie vyema mradi Maabara ya Utafiti ili kuhakikisha Mradio huo unatekelezwa kwa wakati kama iilivyo ainishwa kwenye mkataba na kutoa ingizia ghalama Serikali isiyo kuwa ya lazima.


Amesa hayo Jijini Dar es salaam Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hessabu za Serikali (PAC) Mh Joseph Hasunga Wakati walipo tembeleea kukagua Mradi wa Ujenzi wa Maabara ya Utafiti wa TAFIRI.uliyopo Kunduchi.

Hasunga ameisihi Wizara ya Uvuvi na Mifugo kuhakikisha jengo hilo likamike kwa Wakati na kufikia malengo ya Serikali ya kufikia Uchumi wa brue Kupitia Sekta vya Uvuvi.

Hatahivyo hivyo Hasunga amesema kuwa kamati imezitaka Wizara kuhakikisha anatenga majeti ya Ujenzi wa Ofisi ya Watumishi hao na kuacha kutoa kosa ofis ya kufanyia Shughuli zao.


Naye katibu mkuu w Wizara ya Mifugo na UVuvi Sekta ya Uvuvi Dokta Rashid Tamatamah, amesema kuwa Mradio huo wa Ujenzi wa Maabara ya Utafiti mara baada kamilika Utaaleta tija katika sekta ya Uvuvi ikiwemo itasadia kutambua Idadi ya Samaki Zinazo Patikana na kushughulikia za Maswala Tofauti ya Uvuvi.

Wizara imepokea Maelekezo ya Kamati ya Bunge Ameongeza kuwa na Kuhakikisha watafanyia kazi ili waweze kufikia malengo ya Maabara hiyo pamoja na kufikia Uchumi wa bruu.

0/Post a Comment/Comments