FC Bayern Munich imefanikiwa kutwaa taji la Ligi Kuu ya Ujerumani "Bundesliga" kwa mara ya 10 mfululizo baada ya kuichapa Borussia Dortmund 3-1 kwenye mchezo wa ligi hiyo uliochezwa kwenye uwanja wa Allianz Arena.
Magoli ya Bayern Munich yamefungwa na Roberto Lewandowski, Serge Gnabry pamoja na Jamal Musiala na Emre Can akiifungia Dortmund goli la kufutia machozi.
#TimesFMDigital

Post a Comment