FURY AMCHAKAZA WHYTE RAUNDI YA SITA


 

Bondia mwingereza Tyson Fury amemkung'uta KO mwingereza mwenzie Dillian Whyte kwenye raundi ya 6 ya pambana la uzito wa juu lililochezwa kwenye uwanja wa Wembley na kufanikiwa kubakisha mkanda WBC.


Furry kwa sasa atakuwa amepigana mapambano 33 akishinda 32 akitoa droo 1 na ameshinda kwa KO mara 23.






#TimesFMDigital 

0/Post a Comment/Comments