PSG WATWAA TAJI LAO LA 10 LA LIGUE 1

 



PSG wamefanikiwa kutwaa taji la 10 la Ligi Kuu ya Ufaransa "Ligue 1", baada kutoa sare ya 1-1 na RC Lens kwenye mchezo wa ligi hiyo uliochezwa kwenye uwanja wa Parc De Princes


Goli la PSG limefungwa na Lionel Messi, na kwa upande wa Lens wao goli lao limefungwa na Corentin Je






#TimesFMDigital 

0/Post a Comment/Comments