ANCELOTTI NDIYE MBABE WA CHAMPIONS LEAGUE

 


Carlo Ancelotti ameandika rekodi ya kuwa kocha aliyetwaa mara nyingi Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya "UEFA Champions League" baada ya leo kutwaa taji lake la 4 baada ya kuifunga Liverpool 1-0 kwenye fainali ya michuano hiyo msimu huu kwenye uwanja wa Stade de France.


Makocha wengine walitwaa taji hili mara nyingi ni pamoja na Bob Paisley pamoja na Zinedine Zidane wamechukua mara tatu kil mmoja.


Wakati waliotwaa mara mbili ni pamoja na Sir Alex Ferguson,Jose Mourinho, Pep Guardiola, Arigo Sachi, Jupp Heynckes, Vicent Del Bosque, Luis Carniglia, Bela Guttmann, Miguel Munoz, Ernest Happel Dettmar Cramer, Stefan Kovacs, Ottmar Hitzfeld, Helenio Herrera, Nereo Rocco, Jose Villalonga na Brian Clough.





#

0/Post a Comment/Comments