RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MSHAURI WA IMF MASUALA YA MAENDELEO BARANI AFRIKA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mshauri wa Shirika la Fedha Duniani ( IMF) Masuala ya Maendeleo Barani Afrika Mr.Charalambos G.Tsangarides.(kulia kwa Rais) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-5-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mshauri wa Shirika la Fedha Duniani ( IMF) Masuala ya Maendeleo Barani Afrika.Mr.Charalambos G.Tsangarides (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiongozana na Ujumbe wake,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 6-5-2022.(Picha na Ikulu)

0/Post a Comment/Comments