Klabu ya Real Madrid imefanikiwa kutwaa taji lao la 14 la Ligi Mabingwa Ulaya "UEFA Champions League" baada ya kuichapa1-0 Liverpool kwenye mchezo wa fainali ya michuano hiyo kwa msimu huu ambayo imechezwa kwenye uwanja wa Stade De France nchini Ufaransa.
Goli la Real Madrid limefungwa na Vinicius de Oliveira "Vinicius Jr dakika 59 akimalizia pasi ya Federico Valverde.
#

Post a Comment