SIMBA YAMTEMA PABLO

 



Klabu ya soka Simba imetangaza kuachana na kocha mkuu wa timu hiyo Pablo Franco Martin kwa makubaliano ya pande zote mbili.


Kocha huyo amehudumu kwenye kikosi hicho kwa muda wa miezi 6 na kuiwezesha Klabu hiyo kuchukua ubingwa wa Kombe la Mapinduzi pamoja na kuifikisha katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.






#TimesFMDigital #TimesFmNiBaraka #

0/Post a Comment/Comments