********************
Mbunge wa jimbo la Nzega Vijijini, Mhe. Dkt Hamisi Kigwangalla mapema Juni 16, mwaka huu Bungeni amekuja na SamiaNOMICS huku akipambanua nguzo 10 za Sera na hatua anazochukua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika kukuza uchumi wa Nchi.
Katika Dakika za kuchangia bajeti hiyo, amebainisha kuwa, Hatua anazochukua Rais Samia Suluhu Hassan ni kuiondoa Tanzania kwenye mdororo wa kiuchumi kufuatia janga la uviko-19 na Vita baina ya Urusi na Ukraine.
....... *Msikilize* !

Post a Comment