THRDC YATOA PONGEZI KWA SERIKALI KUPITISHA BAJETI UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA


 ...................

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini -THRDC kupitia Mratibu wake Kitaifa Onesmo Olengurumwa umetoa pongezi Kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia Samia Suluh Hassan na serikali yake kwa kupitisha bajeti ya Ujenzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu jijini Arusha.


0/Post a Comment/Comments