HomeHABARI KITAIFA WANNE WAFARIKI KWENYE AJALI YA TRENI. byTorch Media -June 22, 2022 0 Shirika la Reti Tanzania -TRC limetoa taarifa ya ajali ya Treni ya Abiria namba Y14 yenye Injini namba 9019,iliyokuwa ikisafiri kutoka Kigoma kulekea Dar es salaam na kusababisha jumla ya vifo 4 na majeruhi 132
Post a Comment