YANGA YAMALIZA UTAWALA WA SIMBA

 


Yanga imefanikiwa kutwaa taji la Ligi Kuu Bara "NBC Premier League" baada ya kuifunga Coastal Union 3-0 bila kwenye mchezo wa ligi hiyo uliochezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.


Magoli ya Yanga SC kwenye mchezo huo yamefungwa na Fiston Mayele aliyefunga magoli mawili kwenye dakika ya 34 na dakika 67 na Chico Ushindi kwenye dakika ya 51.


Huu ni ubingwa wa kwanza wa ligi hiyo  baada ya miaka 4 Simba SC wakitwaa taji hilo mfululizo  mara 4.

0/Post a Comment/Comments